IQNA – Yousef, kijana kutoka Bahira nchini Misri, amewavutia wengi kwa sauti yake ya usomaji Qur’ani Tukufu na ameendeleza kipawa chake kwa kusikiliza qiraa za maqari mashuhuri kupitia mtandao. Anaota ndoto siku moja kuwa miongoni mwa majina makubwa katika uwanja wa usomaji wa Qur’ani na kufuata nyayo za Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3482609 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/10